MIEZI 49 TU IMEBAKI…

\"image\"

Ma-bachelor mliobakia [kwenye friend list]
yangu jitahidini kuvipiga vita vizuri vya Imani,
maana mwenzenu karibuni nawakimbia…I know
it is wonderful n precious to be alone, ila pia
\”APATAYE MKE APATA KITU CHEMA, MAANA
APATA KIBALI KWA BWANA\” (Mithali
18:22)…Mwenzenu imebaki miezi 49 tu nianze
maisha ya paradiso duniani/ndoa hapo tar
26/11/2016 na Pastor Carlos Ricky Wilson
Kirimbai naamini ndiye atakayeifunga hiyo
covenant ya wawili kuwa mmoja, ya wawili ni
bora kuliko mmoja, ya mwanaume atawaacha
wazazi wake na kuambatana na mkewe…Kadi za
arusi bado mapema, kuweni wavumilivu, sawa?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *