Unajua Wastaafu Wengi Huwa Wanakufa Miaka 5 Hadi 15 Mara Baada Ya Kustaafu Kazi Serikalini Kwa Sababu Ya MTAZAMO Wanaokuwa Nao Kichwani Kwao Kuwa WAMEMALIZA KILA WALICHOKUWA NACHO KWA AJILI YA DUNIA YAO… Yesu Alipoona Kuwa Amemaliza, Yaani IMEKWISHA, Alikufa (Yohana 19:30)… Kuna Mchungaji Mmoja Nigeria Ana Miaka 108 Sasa, Lakini Bado Ni Full Time Minister, Kwa Sasa Anaongoza Ujenzi Wa Chuo Kikuu Kinachojengwa Na Kanisa Lake, Lakini Kanuni Inayompa Maisha Na Miaka Mingi Ni Hii Hapa, \”Mwenye Haki Atastawi Kama Mtende, Atakua Kama Mwerezi Wa Lebanoni. Waliopandwa Katika Nyumba Ya BWANA Watastawi Katika Nyua Za Mungu Wetu. Watazaa Matunda Hadi Wakati Wa Uzee. Watajaa Utomvu, Watakuwa Na Ubichi\” (Zaburi 92:12-14)… Kama Yesu Atakuwa Hajarudi, Nitaendelea Kuwa Na Utomvu Na Ubichi, Huku Nikiwa Nazaa Matunda Hata Uzee Wangu Wa Miaka 120… Kwangu Hakuna Msamiati Wa Kufa Mapema… MY CASE IS DIFFERENT, AM ON THE WINNING CAMP!