Namshukuru Mungu kwa kuniamini
mimi Mnyonge na Dhaifu na kuamua kupitisha MKATE WAKO WA SIKU hapa… Na nakushukuru wewe kwa kuipenda roho yako na kuilisha kwa Maneno ya Uzima Mungu anayonipa kukuletea kupitia KUTA hii ya facebook… Mara zote najisikia raha Mungu anaponiamini na kupitisha ujumbe wake kwangu unaobadilisha maisha yako na kuyapa thamani! Nikuhakikishie jambo moja la muhimu, \”HIZI NI RASHA RASHA, MASIKA YANAKUJA…Kazi kubwa kuliko hizi Baba atanionesha na nitazitenda\”… I have love for you…Stay tuned