shirikisha neno la Mungu

Mtu AKINIPENDA,ATALISHIKA NENO LANGU,Mimi pamoja na Baba yangu tutakuja na kuweka makao ndani yake\”(Yoh 14:23). Unadhani kuna raha gani kubwa hapa duniani tofauti na Mungu Baba na Bwana Yesu kuishi ndani yako? Ila gharama yake ni KULISHIKA NENO LA KRISTO

 

Jambo linalofanya Wakristo wengi wasiwe na VIWANGO VYA KRISTO kwenye Maisha yao ni wao kudhani na kuamini kuwa Yesu alipokuwa duniani aliishi ktk nafasi yake ya MUNGU MWANA. Hii si kweli,Ndio maana ALIFUNGA SANA,ALIKESHA SANA,ALIOMBA SANA,ALILIA SANA nk..!

Yesu amefanya yote aliyofanya hapa Duniani yanayoichanganya na kuishangaza akiwa ni MWANADAMU 100% hakuwahi kufanya JAMBO/MUUJIZA wowote akiwa katika NGAZI YAKE YA UUNGU.Siri yake Kubwa alikuwa amekufa ktk mambo yake na Kumpa Mungu Nafasi awe hai Ndani yak

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *