Haya tena James Kalekwa, Mwalimu Dickson Cornel Kabigumila, Yosiah Nehemia, Emmanuel Makwaya Godfrey, Brother Geofrey Kingu wote hawa watakuwepo kwenye SHARPENERS YOUTH CAMP itakayofanyika kuanzia tar 15/12 mpaka 18/12 pale SCRIPTURE UNION-IMBASENI, MAJI YA CHAI-ARUSHA. Bila kusahau Interview kabambe ya Mahusiano na Ndoa toka kwa Mentor wangu Philemon N Mgonja na Mkewe.
Vijana wa Vyuoni, Mashuleni, Makanisani, Makazini na Mitaani Hii si Kambi ya kukosa Kabisaaa.
Nina uhakika na ninachokisisitiza, tunapokea Wahudhuriaji watakaolala na watakaokuwa wanakuja na kurudi kwa nusu gharama tajwa hapo.
HEBU TUWASILIANE, USIKOSE HII KABISAAA!