\”Namuona Shetani chini… Namaanisha chini ya miguu ya Kristo Yesu (Waefeso 1:19-23)... Namaanisha chini ya Miguu yangu na chini ya Kila Mkristo aliyeokoka, kujazwa Nguvu za Roho Mtakatifu na anaishi maisha matakatifu (Rumi 16:20)... Namaanisha Shetani yuko chini, Chini ya miguu ya kila Mwamini Mwaminifu wa Yesu anayejua Mamlaka yake Ndani ya Kristo (Luka 10:19)\”