FACT kuhusu malaika

FACT#1.MALAIKA…Hesabu yao ni ELFU KUMI MARA ELFU KUMI NA ELFU MARA ELFU(Ufunuo 5:11).Na hao ni THELUTHI MBILI TU YA MALAIKA WOTE ALIOWAUMBA MUNGU,THELUTHI NYINGINE ILIASI NA SHETANI (Ufun 12:3-8).Kimahesabu, Idadi ya Malaika ni mara 2 ya idadi ya Mapepo!

\"angels\"

Biblia inasema ni Sherehe kubwa mbinguni MWENYE DHAMBI 1 TU akitubu na kurudi kwenye FAMILIA YA MUNGU.Ila Ukweli ni kwamba kuna BONGE la Sherehe Kuzimu pale Mwenye haki 1 akirudia zama zake!Usiwape Shetani na Mapepo sherehe,UKIKOSEA,TUBU,MUNGU ATAKUSAMEHE.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *