Kuthubutu ni bora kuliko

\"http://farm7.static.flickr.com/6147/5940213280_33b86a0c2b.jpg\"\”Yeyote ALIYETHUBUTU kufanya kitu na akashindwa ANA AKILI SANA kuliko Mpumbavu mmoja aliye na kanuni na mbinu za kufanya kitu hicho hicho lakini ANAOGOPA KUCHUKUA HATUA… Aliyethubutu na akashindwa tayari AMEGUNDUA NJIA MOJA ISIYO SAHIHI YA KUFANYA KITU ALICHOSHINDWA, akirudi mara ya pili atakuwa bora na makini kuliko mwanzo… WATU WOTE WASIOCHUKUA HATUA WAMESHASHINDWA MAISHA hata kama jamii inawasifia kwamba HAWAJAWAHI KUKOSEA AU KUPATA HASARA… Ubora wao ni batili, Siku wakifanya ndipo ubora wao halisi utafunuliwa… TOKA NJE, THUBUTU, CHUKUA HATUA, KUSHINDWA SI KUSHINDWA BALI NI DARASA LA MAKOSA AMBAYO UTAYAEPUKA UTAKAPOFANYA TENA…\”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *