\”WIVU dhidi ya watu ambao wanafanya kitu ambacho ni kama aina moja nawe, ni dalili tosha kwamba HUJAJUA BADO UNACHOFANYA ama UNACHOFANYA SICHO UNACHOTAKIWA KUFANYA. Watu wakuu tuna tabia ya KUFURAHIA VITU VYA KIPEKEE TULIVYOBEBA, NA KUCELEBRATE WALIVYONAVYO WENZETU AMBAVYO SISI HATUKUPEWA\”