USIOE KWA SABABU :2

 
“Wenzhttp://atlantablackstar.com/wp-content/uploads/2012/08/Young-Couple-Posed.jpgako wote uliokua nao au kusoma nao wanaoa. Ndoa si ALISEREMA ARIJA AU MWENGE TUNAUKIMBIZA. Ndoa ni taasisi ambayo Mungu amemuwekea kila mmoja wetu ALARM ya kujua lini aingie huko na inahitaji HEKIMA ITOKAYO JUU kujua ni yupi ambaye atasababisha useme, BINTI ZA WATU WAMEFANYA MEMA LAKINI WEWE UMEWAZIDI WOTE. Sasa wewe oa kwa sababu una wanaoweza kukupa michango ya TUKIO LA SIKU MOJA (harusi), usahau kuwa KUANZIA HAPO MPAKA KIFO KINAWATENGA UTAKUWA PEKE YAKO… Ndoa si upele kila mtu ajikune. KABLA YA KUANZA UJENZI WA MNARA KAA CHINI HESABU GHARAMA KAMA UTAUMALIZA ILI USIJEKWAMA NA KUWAFANYA WATU WAKUDHIHAKI… Kurupuka uone utakavyokukuruka…”

HEKIMA ZA NDOA 5

“Ni mwanandoa mpumbavu pekee anayesubiri aombwe msamaha ili asamehe; Maana waweza kukuta kile unachoona kama kosa, mwenzako anaweza asikione hivyo, kwa kutosamehe ufa huo unaweza

Read More »

HEKIMA ZA NDOA 3

  “Kusudi la ndoa ni kujenga TIMU YA WANAOSADIANA NA KUINUANA. Wawili ni bora kuliko mmoja, MAANA MMOJA AKIANGUKA, MWENZIE ATAMUINUA. Ndoa sahihi ni muunganiko

Read More »

USIOE KWA SABABU :2

  “Wenzako wote uliokua nao au kusoma nao wanaoa. Ndoa si ALISEREMA ARIJA AU MWENGE TUNAUKIMBIZA. Ndoa ni taasisi ambayo Mungu amemuwekea kila mmoja wetu

Read More »

KWA WAOAJI TU

“Ukimuona Mwanamke Ambaye AMEKAMILIKA TAYARI [Product] Ujue Kuna Mwanaume Mwingine Ambaye AMEINGIA GHARAMA Kumfanya AHAME TOKA KWENYE MALIGHAFI [Raw Material] Mpaka Kuwa Vile Alivyo… UKIONA

Read More »