UPANDE WANGU WA INJILI NILIOPEWA

“Sasa kila MTUMISHI WA MUNGU akiamua KUCOMPROMISE akasema UNAWEZA KUZINI, UNAWEZA KUTOKA NA MME/ MKE WA MTU NA BADO UKAENDA MBINGUNI, sasa nani atakayezungumzia upande wa WATAKATIFU WALIOKO DUNIA HAO NDIO BORA NA NDIO NILIOPENDEZWA NAO (Zaburi 16:3), au KAMA YEYE ALIYEWAITA ALIVYO MTAKATIFU, BASI NINYI NANYI IWENI WATAKATIFU KATIKA MWENENDO WENU WOTE (1Petro 1:15-16)? Jamani eeeh, kama wewe umepewa wito wa KUONESHA UPANDE WA UDHAIFU, kuna wale ambao TUMEITWA KUWAONESHA WATU ” NGUVU YA MUNGU” INAVYOWEZA KUKUFANYA KUWA “SHAHIDI WA YESU” KUANZIA SAMARIA, UYAHUDI NA HATA MIISHO YA NCHI (Mdo 1:8)… Kuna tuliopewa wito wa kukuonesha ya kuwa YESU ANAWEZA KUMFANYA FISADI ZAKAYO ABADILIKE NA KUWARUDISHIA MARA NNE WALE WOTE ALIOWADHULUMU (Luka 19:1-10)… Kuna wale ambao TUMEJIONEA NGUVU YA MUNGU INAYOWEZA KUMFANYA MUOVU KUWA MTAKATIFU SASA (Warumi 1:16), hivyo KUTULAZIMISHA TUSEME WALEVI WAJE WAKAE KANISANI WATABADILIKA “SIKU MOJA ISIYOJULIKANA” AU WAZINZI WAJE TU KANISANI “SIKU MOJA ISIYOJULIKANA” WATAACHA, NI KUSHUSHA VIWANGO VYA INJILI YA YESU AMBAYO INATIMIZA ALICHOSEMA YESU YA KUWA “YEYE AYANYWAYE MAJI NIMPAYO, HATAONA KIU KAMWE” YA CHOCHOTE AMBACHO ALIKUWA AKIKIFANYA KISICHOMPA MUNGU UTUKUFU (Yohana 4:14)! Sijaitwa KUMHUBIRI YESU ATAKAYEWABIDILISHA WATU, BALI YESU ANAYEWABADILISHA SASA MAANA NI YEYE YULE JANA, LEO NA HATA MILELE (Waebrania 13:8)! UFUNUO NILIONAO KUHUSU YESU NI HUU, YUKO HAI MILELE NA ANAWEZA KABISAAAAA KUWASAIDIA WOTE WANAOJARIBIWA (Waebrania 2:18)! SIWEZI KUAMINI MAKATA, SUBIANI, MAIMUNA AU MIZIMU YA SEHEMU FULANI IKO HAI NA ACTIVE HALAFU IKIJA UPANDE WA UTENDAJI WA YESU, NISEME ATAFANYA KWA WAKATI WAKE! HE IS SO ACTIVE THAN OTHER SPIRITS… Ndio maana nasisitiza MLEVI ANAWEZA KUACHA HAPO HAPO, TEJA ANAWEZA KUKATA KIU YA UNGA HAPOHAPO, MZINZI ANAWEZA KUKATA KIU YA ZINAA NA UASHERATI PAPO HAPO, MME/ MKE ASIYE MWAMINIFU KWENYE NDOA YAKE ANAWEZA KUWA BONGE LA MME/ MKE AKIKUTANA NA YESU MKATA KIU… THIS IS WHAT I WAS BORN TO TEACH AND PREACH… THIS IS WHAT I WAS ANOINTED FOR.. HOLINESS IS POSSIBLE TO BE A NORMAL LIFESTYLE KAMA DHAMBI INAVYOWEZA KUMNG’ANG’ANIA MTU… HUU NDIO UPANDE WANGU WA INJILI… YESU YU HAI SASA, ONJA UONE YA KUWA NI MWEMA (Zaburi 34:8)…”

Mwalimu Dickson Cornel Kabigumila

15/05/2019

Mafundisho
yesunibwana

KWA WAOLEWAJI TU

“Kati Ya Mambo Unayopaswa Kuyachunguza Kuhusu Mtu Anayetarajia Kukuoa NI UAMINIFU NA UADILIFU Kwenye MALI NA PESA YA UMMA, KAMPUNI Au WATU WENGINE… Ukiona Huyu

Read More »

HEKIMA ZA NDOA 4

“Ndoa ni taasisi ambayo unaungana na mtu mwingine ambaye ANAWEZA KUKUTIA MOTO kwenye KULIFUATA NA KULITIMIZA KUSUDI LA MUNGU… Wawili sahihi kila mmoja anakuwa CHUMA

Read More »