TAFAKARI HII SIKU YA LEO

 

“Ni Rahisi Kumkasirikia Mungu Na Hata Kudhani Kwamba HAJAJIBU UNALOMUOMBA Kumbe Tayari AMEJIBU Ila Kwa NAMNA NYINGINE TENA BORA KULIKO Japo Wewe HUJAONA HILO… Mwanamke Aliyetokwa Na Damu Kwa Miaka 12 Mfululizo, Yeye ALIKUWA AKIMLALAMIKIA MUNGU KWAMBA INAKUWAJE MIAKA YOTE HIYO HAMPONYI JAPO ANAOMBA KWA BIDII??… Lakini Hakuwahi Kujiuliza DAMU INATOKA KILA SIKU; WIKI; MWEZI; MIEZI MIWILI; MIEZI MITATU… MWAKA; MWAKA WA PILI; MWAKA WA TATU… MPAKA MWAKA WA KUMI NA MBILI… Lakini Bado HIYO DAMU HAIKUISHA NA WALA HAKUFA… Inawezekaje LITA TANO ZA DAMU, INAYOVUJA KILA SIKU ISIISHE NA ASIFE?? Huu Ni MUUJIZA… Wakati Yeye Anawaza UPONYAJI, Mungu Alikuwa Anawaza MAISHA… MAISHA NI BORA KULIKO UPONYAJI… Mungu Ana Vipaumbele BORA Kuliko VYETU… Alijibu Ombi Lake KWA KUTUNZA UHAI WAKE KWANZA Halafu UPONYAJI Ukafuata… MTAFAKARI MUNGU KWA JICHO JINGINE LEO… AMEJIBU MAOMBI YAKO MENGI TAYARI”

Mwl Anakutakia Siku njema,
Mwl D.C.K

Mafundisho
yesunibwana

KWA WAOLEWAJI TU

“Kati Ya Mambo Unayopaswa Kuyachunguza Kuhusu Mtu Anayetarajia Kukuoa NI UAMINIFU NA UADILIFU Kwenye MALI NA PESA YA UMMA, KAMPUNI Au WATU WENGINE… Ukiona Huyu

Read More »

USIOE KWA SABABU :2

  “Wenzako wote uliokua nao au kusoma nao wanaoa. Ndoa si ALISEREMA ARIJA AU MWENGE TUNAUKIMBIZA. Ndoa ni taasisi ambayo Mungu amemuwekea kila mmoja wetu

Read More »