KWA WAOLEWAJI TU

Kwa Waolewaji tu

“Kati Ya Mambo Unayopaswa Kuyachunguza Kuhusu Mtu Anayetarajia Kukuoa NI UAMINIFU NA UADILIFU Kwenye MALI NA PESA YA UMMA, KAMPUNI Au WATU WENGINE… Ukiona Huyu MTARAJIWA WAKO Ana MTAZAMO [MINDSET] Ya Kuwa Tayari KUPIGA HELA YA KAMPUNI, SERIKALI AU MTU MWINGINE Kwa Maneno Kama “FURSA IMEJILETA” Au “BAHATI HAIJI MARA MBILI” Au “CHUKUA CHAKO MAPEMA” Ama “NCHI IMEUZWA TUMIA AKILI YAKO KUPATA CHAKO” Au Anasema, “UKIWA MPENDA HAKI NA UADILIFU UTAKUFA MASIKINI” Ujue Moja Kwa Moja Uko Hatarini Kuolewa Na JAMBAZI NA MTU ASIYE NA UTU… Usijitie Kichwa Ngumu, Maana MTU WA AINA HII HANA MWISHO MZURI; Anaweza Kufa Akakuacha Mjane Au Akaishia Gerezani Kwa Mikono Ya TAKUKURU Au KWA LAANA YA ANAOWADHULUMU… Usiolewe Na TAKATAKA YA AINA HII, INAYOPENDA PESA KULIKO MUNGU NA NENO LAKE”
Mwalimu Amesema, Kazi Ni Kwako,
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

KWA WAOAJI TU

“Ukimuona Mwanamke Ambaye AMEKAMILIKA TAYARI [Product] Ujue Kuna Mwanaume Mwingine Ambaye AMEINGIA GHARAMA Kumfanya AHAME TOKA KWENYE MALIGHAFI [Raw Material] Mpaka Kuwa Vile Alivyo… UKIONA

Read More »
Mafundisho
yesunibwana

KWA WAOLEWAJI TU

“Kati Ya Mambo Unayopaswa Kuyachunguza Kuhusu Mtu Anayetarajia Kukuoa NI UAMINIFU NA UADILIFU Kwenye MALI NA PESA YA UMMA, KAMPUNI Au WATU WENGINE… Ukiona Huyu

Read More »