KANUNI KATIKA KUSIFU NA KUABUDU

\”Kabla Haujainua Mikono Yako Juu; Hakikisha Kwanza Moyo Wako Umeinuka Kwanza Mbele Za BWANA; Maana Kuinua Mikono Mbele Za BWANA Wakati Moyo Wako Umeinama Ni Kupoteza Muda… Kwa Wanadamu Utaonekana Umezama, Lakini Kwa Mungu Utakuwa Kituko Na Msanii Tu… Kumbuka Mungu Anauchunguza Moyo Kwanza\”
\”MIMI BWANA NAICHUNGUZA MIOYO…\” (Yeremia 17:10).

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *