“Kusudi la ndoa ni kujenga TIMU YA WANAOSADIANA NA KUINUANA. Wawili ni bora kuliko mmoja, MAANA MMOJA AKIANGUKA, MWENZIE ATAMUINUA. Ndoa sahihi ni muunganiko wa watu wawili wanaotakiana mema, ambapo KILA MMOJA ANAISHI KWA AJILI YA MAFANIKIO NA USTAWI WA MWENZAKE NA SI KWA AJILI YAKE TU. Ukioa au kuoa huku moyoni unajua na umeamua kuishi kwa ajili ya KUMUINUA NA KUMSIMAMISHA MWENZAKO, hautajutia wala kuona machungu ya ndoa wanayopata wengine…”
(Mhubiri 4:9-10)
Mafundisho
SEX BEFORE MARRIAGE
#TENDO LA NDOA KABLA YA #NDOA Luka 16:10 [10]Aliye mwaminifu katika lililo dogo sana, huwa mwaminifu katika lililo kubwa pia; na aliye dhalimu katika lililo