HATARI

  • “Ukikosa Mbinguni Hautakosa Kuzimu” (Ufunuo 20:15)

 

  • “Kama Hauishi Maisha Ya Utakaso, Umechagua Ya Dhambi” (Ufunuo 22:11-16)

 

  • “Kama Haujilindi Na Dhambi Ni Wazi Hujazaliwa Mara Ya Pili” (1yohana 5:18)

 

  • “Maisha Yako Ni Ujumbe, Kama Si Barua Ya Kristo Ni Ufunuo Wa Utendaji Wa Ibilisi” (2kor 3:1-3, 1yoh 3:8a)

 

  • “Kama Haujashuhudiwa Kumpendeza Mungu Sasa, Hautanyakuliwa” (Waebrania 11:5).

 

  • “Kuna Makundi Mawili Tu Kanisani, Wanawali Wenye Hekima Na Wapumbavu, Na Uko Kundi Mojawapo” (Mathayo 25:1-13)

 

 

  • “Kama Hauongozwi Na Roho, Unaongozwa Na Mkuu Wa Uweza Wa Anga Roho Itendayo Kazi Kati Ya Wana Wa Uasi” (Rumi 8:14, Efeso 2:1-4).

 

  • “Kama Si Sababu Ya Yesu Kutukuzwa Wewe Ni Sababu Ya Jina Lake Kutukanwa Na Mataifa” (Mathayo 5:16, Rumi 2:24)

 

  • “Kwenye Mwili Wa Kristo Kuna Magugu Na Ngano! Ngano Alizipanda Yesu Mwenyewe Na Anatarajia Hesabu Toka Kwao Siku Ya Mwisho Na Magugu Ni Wana Wa Ibilisi Waliochomekwa Katika Makanisa Wameongozwa Sala Ya Toba Ndiyo, Lakini Wanaendelea Na Maisha Ya Dhambi Wakisingizia Neema… Utajua Mwenyewe Upo Kundi Lipi Kwa Kuangalia Unavyokazania Utakatifu Au Unavyoendelea Na Dhambi Kama Wapagani Wengine Huku Ukiwa Miongoni Mwa Waliookoka”
    (Mathayo 13:36-42).

 

Mafundisho
yesunibwana

WAZEE WA MKEKA/KUBETI MPOO!!

  USHUHUDA: AFUNGULIWA TOKA TABIA SUGU YA KUCHEZA KAMARI, MAARUFU KAMA KU-BET AU KUTANDIKA MIKEKA! Ngoja nikupe mchongo wa kukutoa jumla kwenye huu MSALA. Huu

Read More »

HEKIMA ZA NDOA 3

  “Kusudi la ndoa ni kujenga TIMU YA WANAOSADIANA NA KUINUANA. Wawili ni bora kuliko mmoja, MAANA MMOJA AKIANGUKA, MWENZIE ATAMUINUA. Ndoa sahihi ni muunganiko

Read More »

NDOA

“Haiunganishi familia mbili bali inazalisha familia mpya ya tatu… Inayojiendesha, kujitawala, kujiamulia na kujichagulia mambo yake… Familia hii mpya ya tatu inakuwa na kusudi na

Read More »