http://i.quoteaddicts.com/media/quotes/3/133957-cute-engagement-party-ideas.jpg
There Are \”Many Women\” Who Can Become Your \”Companion\” If You Decide To… But There Is Only One Woman Among Many Whom God Ordained For You To Be \”Your Wife\”… God Took Only \”One Rib\” From Adam To Make Him \”An Helper Fit (Suitable Helper)\”… Only One Rib, One Woman Is Your Wife Thou There Are Many In Your List… It Takes Wisdom To Identify Her Among \”Many Woman\”
\”MKE MWEMA NANI AWEZAYE KUMWONA?\”
It Takes \”An Extra Eye, A Divine Eye\” To Locate Her!
\”NYUMBA NA MALI NI URITHI APEWAO MTU NA BABA YAKE;BALI MKE MWENYE BUSARA, MTU HUPEWA NA BWANA\” (Mithali 19:14).
Wako Wanawake Wengi \”Wanaoonekana Kwa Nje Kana Kwamba Wanaweza Kuwa Wake Zako\” Lakini Yuko \”Mwanamke Mmoja Tu Ambaye Ni Ubavu Wako Uliotoka Kwako Kabla Ya Misingi Ya Ulimwengu Kuwekwa… Na Huyu Anaweza Kuonekana UKITUMIA JICHO LA MUNGU KUMTAFUTA\”