Aina za watoa sadaka na mitazamo iliyo mioyoni mwao; 1.Wanaotoa kwa sababu wanajua Mungu atawarudishia maradufu…hawa wanatoa wakiwa na wazo...
Your a born again..
You are born again not to suffer again…You are born again to reign again…You are born again by the Spirit...
Maneno yangu
MANENO YANGU NI MIMI…MANENO YANGU NDIO MTAZAMO WANGU…MANENO YANGU NDIO KIPIMO CHA KIASI CHA UBORA WANGU…MANENO YANGU NDO YANAAMUA UMBALI...
Umaskini hama utajiri ni hiali yako
Yesu aliwahi kuwaambia WANAFUNZI WAKE, \”MASIKINI mnao siku zote…\” Hakuwahi hata mara moja kusema WANAFUNZI WAKE ni MASIKINI wala YEYE...
MIEZI 49 TU IMEBAKI…
Ma-bachelor mliobakia [kwenye friend list] yangu jitahidini kuvipiga vita vizuri vya Imani, maana mwenzenu karibuni nawakimbia…I know it is wonderful...
MUNGU aliwahi kuwaambia..
MUNGU aliwahi kuwaambia WAISRAEL [WAEBRANIA]…\”MASIKINI HAWATAKOMA JUU YA NCHI\” Ila hakuwahusisha wao WAEBRANIA na huo UMASIKINI…Aliwapa tu wao taarifa juu...
Usinyooshe kidole chako dhidi ya ndugu zetu Waislamu kwa ajili ya kile kilichotokea
Usinyooshe kidole chako dhidi ya ndugu zetu Waislamu kwa ajili ya kile kilichotokea kule Mbagala, kama umeandika ujumbe au chochote...
SHETANI SI TISHIO, DHAMBI NDIO ADUI YAKO NAMBA MOJA…
Unajua Wakristo wanatumia muda wao mwingi kumshughulikia shetani, wana kila aina ya maneno na misemo ya kumwinua shetani kwenye maisha...
YATAKAYOKUWAKO YAMEKWISHA KUWAKO…
Ni muhimu ujue jambo hili wewe ambaye Yesu ni Bwana na Mwokozi wako, na wewe ambaye Mungu ni Baba yako...
KIPIMO KIKUBWA CHA MKRISTO, UPENDO…(1Wakorintho 13)
Yesu alisema, \”AMRI KUU NAWAPENI, PENDANENI KAMA MIMI NILIVYOWAPENDA NINYI\” (Yohana 16:13) Tena akasisitiza, \”WAPENDENI ADUI ZENU, WABARIKINI WANAOWALAANI, WAOMBEENI...
- 1
- 2