Month: June 2012

Home / 2012 / June

FACT kuhusu malaika

FACT#1.MALAIKA…Hesabu yao ni ELFU KUMI MARA ELFU KUMI NA ELFU MARA ELFU(Ufunuo 5:11).Na hao ni THELUTHI MBILI TU YA MALAIKA...

Kauli za wakiristo

Kati ya kauli wanazotumia Wakristo wengi ni \”SHETANI AMEJIINUA mambo yakaharibika nk\” lakini Biblia inasema ‘SHETANI YUKO CHINI YA MIGUU...

Umaskini si tiketi

Kuwa MASIKINI si tiketi ya wewe kwenda mbinguni wala kuwa TAJIRI si tiketi ya kuikosa Mbingu.Biblia inatuonesha MASIKINI Lazaro akiwa...

uwanja wa utumishi

Wakati naingia kwenye UWANJA WA UTUMISHI WA MADHABAHUNI,kiu yangu kubwa ilikuwa ni kuona Miujiza ikifanyika,Wagonjwa wakiponywa nk.Nilikuwa tayari Kufunga na...

shirikisha neno la Mungu

Mtu AKINIPENDA,ATALISHIKA NENO LANGU,Mimi pamoja na Baba yangu tutakuja na kuweka makao ndani yake\”(Yoh 14:23). Unadhani kuna raha gani kubwa...