Month: May 2012

Home / 2012 / May

Jambo Moja …

Ni jambo moja wewe kusema ‘mdomoni’ kuwa ni Mkristo, Yesu ni Bwana na Mwokozi wako…Ni jambo jingine pia kwa hicho...

Mungu ni nani kwako?

Mungu hawezi kujifunua kwako ZAIDI ya kiwango chako cha kumjua Yeye.Kwa Musa alikuwa WIMBO WAKE NA NGUVU ZAKE(Kut 15:2).Kwa Daudi...

imani na …

IMANI NA MAOMBI>>> \”Yeye amwendeaye MUNGU [Kwa maombi] LAZIMA AAMINI [awe na IMANI] ya kwamba MUNGU YUPO na HUWAPA THAWABU...

Uzima milele

  KINYWA CHA MTU>>>Yesu anasema, \”Kinywa cha mtu huyanena yaujazayo moyo wake\”(Math 12:34).Aina ya Maneno usemayo inatusaidia kufahamu wewe ni...

Maneno

MANENO>>> Si kila neno ni halali kwa Mkristo kulitumia au kuliongea, haijalishi hata kama jamii nzima inalitumia. Jifunze kuchunga Kinywa...

Ziko Hila ,Mwamini Mungu

MWAMINI MUNGU>>>Inawezekana unapitia changamoto au nyakati ngumu sana muda huu,na unaona hakuna msaada…Ukweli ni kwamba Mungu anajua hilo na anakutazama,...

Dhambi kubwa

UONGO, WIZI nk…ZOTE HIZI NI DHAMBI sawa! Lakini Dhambi itakayowapeleka watu MOTONI MILELE ni KUTOMWAMINI YESU na alichofanya kwa ajili...

Utakuwepo?

Kuna SHEREHE KUBWA INAKUJA, kubwa kuliko ile ya Prince Charlz au ya mtu yeyote maarufu. Hii ni bab kubwa, ameiandaa...

kifo (umilele)

Kuwa mtu wa IMANI ni mpaka pale tu UFAHAMU WA KIBINADAMU UTAKAPOKUFA…Utakapoacha kuongozwa na MILANGO MITANO YA FAHAMU…Na inatokea tu...